
EMMANUELNYELANYELA
Kwa mujibu wake amesema huu ndio wimbo pekee aupendao sana ameshirikiana na rafiki yake kipenzi YOHANA CHETI MAHENGE ,.wazo la kutunga wimbo akiongea nasi amesema kuwa alipata maono haya akiwa kidato cha sita na alipomaliza shule ndipo akaamua kuingia studio na hatimae leo ameuachia hewani .Pia ana ALBAM iitwayo ni STORI NDEFU...