Friday, March 31, 2017

...
                                                                   DOWNLOAD AU...

Tuesday, March 7, 2017

...
ambwene mwasong...
...
...

Sunday, March 5, 2017

Wakili  wa Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na uzima, Askofu Josephati Gwajima,  Peter Kibatala amesema kuwa polisi wamefanya upekuzi kwa mara nyingine nyumbani kwa Askofu huyo.Kibatala ambaye ni wakili wa Askofu Gwajima amesema kuwa mbali na kupekuwa nakupiga picha kila kona ya nyumba pia walikwenda katika kanisa lakelililopo Ubungo kwa ajili ya upekuzi.“Waache wafanye...
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesemayeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe.Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada inayoendelea kanisani kwake hivi sasa akieleza kuwa, "Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote.""Watu...
Powered by Blogger.

Popular Posts

Our Facebook Page

Video