Wakili wa Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na uzima, Askofu Josephati Gwajima, Peter Kibatala amesema kuwa polisi wamefanya upekuzi kwa mara nyingine nyumbani kwa Askofu huyo.Kibatala ambaye ni wakili wa Askofu Gwajima amesema kuwa mbali na kupekuwa nakupiga picha kila kona ya nyumba pia walikwenda katika kanisa lakelililopo Ubungo kwa ajili ya upekuzi.“Waache wafanye yao na sisi tutafanya yetu kisheria, Kwani hatuwezi kuwazuia Polisi kufanya shughuli yao na baada ya kumaliza na sisi tutajua nini cha kufanya,”amesema Kibatala.Msemaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, David Mngongolwa amesema Gwajima alikwenda polisi kuripoti kama alivyoamriwa kufanya hivyo.Aidha, Mngongolwa ameongeza kuwa baada ya kuripoti askari walimchukua na kwenda naye nyumbani kwake kwa ajili ya upekuzi na baada ya hapo waliondoka naye.Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Suzan Kaganda amesema hana taarifa za kukamatwa kwa Gwajima kwa maelezo kuwa alikuwa katikakikao
Sunday, March 5, 2017
1:01 PM
Unknown
No comments
Related Posts:
MWAKASEGE; MUNGU ASIPOJIBU MAOMBI YAKO MUULIZE SEHEM YA 1… Read More
DOWNLOAD MP3 SONG | TUSAMEANE | NYELANYELA MGALLAH HAUJUI LINI UTAKUWA MGONJWA ,HAUJUI LINI UTAPATA MATATIZO ,TUSAIDIANE,TUOMBEANE TUSAIDIANE PANAPO MATATIZO … Read More
FRANJ MCHARO-HANIACHI (OFFICIAL VIDEO)… Read More
DOWNLOAD MP3 | NYELANYELA MGALLAH | MZURI YESU EMMANUELNYELANYELA Kwa mujibu wake amesema huu ndio wimbo pekee aupendao sana ameshirikiana na rafiki yake kipenzi YOHANA CHETI MAHENGE ,.wazo la kutunga wimbo akiongea nasi amesema kuwa alipata m… Read More
DOWNLOAD MP3 |NYELANYELA | BWANA BARIKI NI EMMANUEL NYELANYELA anaku… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment