Utafiti Unaonesha kwamba 63%
ya watu duniani wanaamini
uwepo wa Mungu, yafuatayo ni
Mataifa 5 yanayoongoza kwa
idadi kubwa ya watu wasiyoamini
uwepo wa Mungu (Atheism).
1. China.
Ikiwa na wapagani asilimia 30%,
huku asilimia 47% ya watu
hawaamini kabisa kama Mungu
yupo.
2. Japan.
Ikiwa na asilimia 31% ya
wapagani, huku asalimia 31% ya
wajapani hawaamini kabisa kama
Mungu yupo.
3. Czech Republic.
Ikiwa na 48% ya wapagani, huku
asilimia 30% ya wananchi
wanasema kwamba Mungu
hayupo.
4. France.
Asimilia 29% ya wafaransa
hawaamini kabisa kama Mungu
yupo.
5. Korea Rep (South).
Ikiwa asamilia 15% watu
wasioamini kwamba Mungu yupo.
Sunday, February 19, 2017
6:05 AM
Unknown
News
No comments
Related Posts:
MAAJABU MBEYA; MTOTO ALIEZIKWA AKUTWA CHUMBANI KWAKE Mbeya: Mtoto aliyezikwa jana akutwa chumbani kwake mara baada ya mazishi Wakazi wa eneo la Isanga katika jiji la Mbeya wameendelea kushuhudia visa na mikasa, ushilawadu na matukio ya vioja, baada ya mtoto wa miaka 9 aliyeku… Read More
KIONGOZI WA KANISA LA ROMANI ATANGAZA SIKU YA SABA NI JUMAMOSI | vijananainjili … Read More
NEW SONG ;UVUMILIVU MP3 |GETRUDER MWASILE .vijana na injili DOWNLOAD MP3_uvumilivu _getruder_mwasile … Read More
HATIMAE GETRUDER MWASILE atoa wimbo mpya | BWANA NI NGUVU ZANGU | kuwa wa kwanza kuupakua (download) DOWNLOA… Read More
DOWNLOAD MP 3 | nyelanyela ft sebarua Alex _asante yesu DOWNLOAD MP3 |nyelanyela ft sebarua … Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment