Saturday, May 6, 2017

MTUMISHI WA MUNGU MIRIUM CHIRWA ATAKUWEPO KUMSAIDIA EMMANUEL NYELANYELA MGALLA HII HAPA CHINI NI PICHA YAKE MIRIUM CHIRWA 
ataambatana na baba yake mzazi


                 
HISTORIA FUPI YA EMMANUEL NYELANYELA MGALLAH

kwa jina lake la kuzaliwa ni emmanueli baba yake ni stephano na mama yak ni TUSAIWE
Ni mzawa wa kijiji cha NSALALA -MBALIZI-MBEYA
ni mwanafunzi amesoma shule kama
NSALALA PRIMARY SCHOOL hapa alisoma miaka sita darsa la saba alimalizia shule ya msingi MLIMARELI,sSHULE YA UPILI amesoma USONGWE  kidato cha tano na sita KYELA DAY
Mpaka sasa 7/5/2017 ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma,
HISTORIA YA UIMBAJI
Emmanuel stephano Mgallah maarufu kwa NYELANYELA
alianza kuimba tangu akiwa mtoto ,alianza kuimba nyimbo za bongo fleva kisha alipofika darasa la tano akaanza kuimba nyimbo za injili na kujihusisha katika kwaya za Sunday school kanisani
NI muumini wa makanisa ya kipentecoste yaani TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD (T.A,G) BEROYA MBALIZI MBEYA .
Amepitia katika kwaya na band mbalimbali kama vile ARMY-BAND,angels choir,chapaulinje n.k
alianza kutoa nyimbo zake binafsi za kwa kurekodiwa mwaka 2013 akiwa kidato cha tano
mpaka sasa ana nyimbo zaidi ya kumi


anapatikana kwa mawasiliano yafuatayo
Emmanuel Nyelanyela s S,Mgallah(facebook na YOUTUBE)
emmanuelmgallah92@gmail.com
0766867600
0673008678


Powered by Blogger.

Popular Posts

Our Facebook Page

Video