Showing posts with label Injili. Show all posts
Showing posts with label Injili. Show all posts
Sunday, April 1, 2018
Monday, December 11, 2017
10:45 PM
Unknown
Injili, Music, News
No comments
SIKILIZA WIMBO WA MTUMISHI WA MUNGU
emmanuel Stephano MGALLAH alimaarufu kwa jina la NYELANYELA
Mwanachuo na mwimbaji wa nyimbo za injili ameuachia wimbo wake hii leo
kuwa wa kwanza kuupakua
DOWNLOAD MP3
Monday, December 4, 2017
Tuesday, October 17, 2017
Thursday, October 12, 2017
3:14 PM
wajumbe studio
Injili, Music, News, Video
No comments

NMEUONA MKONO WA BWANA
Huu ni wimbo wa kwanza kabisa kutolewa video na kikundi cha waimbaji toka jiji la MBEYA
Chini ya usisamizi wa mtumishi wa Mungu SETH ambae ni mtoto wa mchungaji mwaigomole katika kanisa ambalo band hii inahudumu MASHUJAA BAND .Akiongea na mwakilishi wetu wa vijana na injili MBEYA kupitia blog hii mwenyekiti wa BAND Hiyo amesema wanatalajia kufanya mambo makubwa sana jijini hapa katika huduma ya uimbaji hasa musiki wa kuimba kwa vyombo yaani live performance .hiini kwasababu kuna band chache sana ambazo huimba musiki wa live kwa kizazi hiki
pia wako tayari kjutumikasehemu yeyote ile ndani na nje ya Tanzania
kwa mawasiliano zaidi tazama cover hiyo hapo juu
Monday, October 2, 2017
11:55 PM
Unknown
Injili, Music, News
No comments
HAUJUI LINI UTAKUWA MGONJWA ,HAUJUI LINI UTAPATA MATATIZO ,TUSAIDIANE,TUOMBEANE TUSAIDIANE PANAPO MATATIZO ni moja kati ya maneno yenye hekima yaliyopo katika wimbo huu ulioimbwa na EMMANUEL NYELANYELA MGALLAH toka T.A.G. Beroya MBALIZI-MBEYA kwa mawasiliano usisite kumtafuta kutumika kwenye mikutano,semina,kongamano, tamasha,uzinduzi n.k 0766867600
bonyeza hapa>DOWNLOAD MP3
bonyeza hapa>DOWNLOAD MP3

11:18 PM
Unknown
Injili, Music, News
No comments
NI EMMANUEL NYELANYELA
anakuletea wimbo wake mpya uliopo katika albam yake ya NI STORI NDEFUuitwao EE BWANA BARIKI
wapo watu wengi wanaofanya huduma kwa kuwasaidia wengine na wengine kwa kuwasaidia wasiojiweza kwa njia ya matoleo,misaada n.k. wimbo huu ni kwa ajili ya wote wanaofanya misaada mbalimbali ili kufanya huduma ya MUNGU kusonga mbele .HAKIKA NI MZURI NA WENYE KUFARIJI SANA .mtafute nyelanyela kwa 0766867600
Monday, August 28, 2017
Tuesday, August 15, 2017
Wednesday, August 2, 2017
Sunday, July 30, 2017
Sunday, July 16, 2017
6:37 PM
Unknown
Injili, Music, Video
No comments
HUYU NI MWIMBAJIB WA NYIMBO ZA INJILI TOKA MBALIZI MBEYA
GETRUDER MWASILE
atazindua albam yake ya kwanza ya audio
tarehe 13/8/2017
katika kanisa la E.A.G.T MAKIMBILIO LILILOPO SHULE YA MSINGI MBALIZI MOJA
KWA MCHUNGAJI ESILI MWASUNDA
WAIMBAJI MBALI MBALI WATAKUWEPO
KUWA NASI VIJANA NA INJILI TUTAKUJUZA YOTE
Saturday, July 8, 2017
Wednesday, June 14, 2017
Wednesday, April 26, 2017
2:19 PM
Unknown
Injili, News
No comments
UZINDUZI WA ALBAM HII YA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI ALIMAARUFU KWA JINA LA NYELANYELA
Utafanyika tarehe 7/5/2017
ataambatana na waimbaji wengi sana baadhi yao wametajwa hapo juu
AMBATANA NASI MPAKA SIKU YA TUKIO TUTAWALETEENI HISTORIA FUPI YA MWIMBAJI HUYU
Friday, January 27, 2017
3:17 PM
Unknown
Injili, Music, News
No comments
KAMA TANGAZO HAPO JUU LINAVYOJIELEZA
DADA NEEMA CHOMO
MZAWA WA MBOZI MBEYA NA MKAZI WA SUMBAWANGA RUKWA
KWA SASA YUPO DODOMA KIMASOMO
JUMAPILI HII YA TAREHE 29/1/2017
ANAKULETEA
ALBAM YAKE YA KWANZA INAYOITWA
MKUBALI YESU
ITASINDIKIZWA NA WAIMBAJI MBALIMBALI KAMA ILIVYOELEVYA HAPO JUU KATIKA TANGAZO LA PICHA
kazi hii mara baada ya kuzinduliwa itakuwa ikisambazwa na MWENYEWE
NEEMA CHOMO
MAWASILIANO NI
0764876779
TUMA SMS KWA HII NAMBA ,PIGA
MSAADA WOWOTE YUPO TAYARI KUUPOKEA
wenye malengo ya kuimalisha huduma
msaada wako ni ujasiri kwake
UBARIKIWE SANA
Subscribe to:
Posts (Atom)












