Sunday, February 26, 2017


ALIE KULIA MWENYE SUTI NYEKUNDU NDIO
emmanuel nyelanyela
kama wewe ni mwimbaji 
na uanataka nyimbo zako 
zionekane kwenye mitandao ya kijamii na watu waweze kudownload tutafute vijana na injili 
tunaupload VIDEO ,AUDIO NA TUNAFANYA KAZI YA KUTANGAZA MIKUTANO .NA UZINDUZI MBALIMBALI

Saturday, February 25, 2017

APPLY
History & Geography
Teacher (A- Level)
Education & Teaching

Details
Employer Name: Gili Secondary School
Organization Type: Private Sector
Role: Experienced
Position Type: Full Time
Location: Pwani
Kibaha Mjini
Application Deadline: 03-03-2017
Listed on: 14-02-2017
Description Application Instructions
We are looking for A level professional and
experienced teacher with a bachelor in
Education major in History & Geography
NOTE: YOUR E MAIL TITTLE SHOULD BE THE
SUBJECT YOU ARE APPLYING FOR: Send your
APPLICATION LETTER, CV and Copy of your
certificates via APPLY below
CLICK HERE TO APPLY

Tuesday, February 21, 2017

JESHI la polisi Mkoani Mbeya,
linamshikilia mfanyabiashara
maarufu Jijini Mbeya, Steven
Samweli maarufu kwa jina la
MARANATHA, kwa tuhuma za
kujihusisha na biashara za
dawa za kulevya.
Maranatha ni mfanyabiashara
mkubwa Jijini Mbeya
akijijengea jina kubwa
kutokana na kumiliki
Pharmacy kubwa iliyopo
maeneo ya Kabwe,Jiji Mbeya.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Mbeya, Dhahiri Kidavashari
alisema kuwa Maranatha,
alikamatwa juzi, kwenye moja
ya duka lake la biashara za
dawa baridi kwa matumizi ya
binadamu.
Alisema, baada ya polisi
kupata taarifa za kuhusishwa
kwa mfanyabiashara huyo na
mtandao wa dawa za kulevya,
liliweka mtego na hatimaye
kufanikiwa kumtia nguvuni na
sasa anahojiwa.
Aidha, kukamatwa kwa
mfanyabiashara huyo,
kunafikisha idadi ya watu
nane wanao tuhumiwa
kujihusisha na uingizaji,
usambazaji na utumiaji wa
dawa za kulevya Mkoa wa
Mbeya, huku watumiaji
wanaoshikiliwa wakiwa ni 23.
Mwisho.

Sunday, February 19, 2017

Flora Mbasha

Kwa ufupi

Sakata hilo linaweza kuibua mjadala miongoni mwa waumini wa dini ya Kikristo ambayo pamoja na kuruhusu ndoa kuvunjika, ni nadra sana kwa makanisa kuidhinisha suala hilo.

Advertisement
By Beatrice Moses, Mwananchi bmoses@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Baada ya wanandoa ambao ni wanamuziki maarufu wa nyimbo za Injili, kuingia katika mzozo miaka minne iliyopita, mmoja wao Flora Mbasha amechumbiwa na anatarajiwa kufunga ndoa ya pili hivi karibuni mkoani Mwanza.

Sakata hilo linaweza kuibua mjadala miongoni mwa waumini wa dini ya Kikristo ambayo pamoja na kuruhusu ndoa kuvunjika, ni nadra sana kwa makanisa kuidhinisha suala hilo.

Habari za kuaminika ambazo Mananchi Digital imezipata zinasema vikao vya maandalizi ya harusi hiyo vimeshaanza baada ya Flora kufanikiwa kupata talaka aliyoidai Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini hapa.

Flora, ambaye ni mjukuu wa aliyekuwa muhubiri maarufu nchini, Askofu, Moses Kulola (sasa marehemu), tayari amevishwa pete ya uchumba na amebadili jina la kisanii akitaka mashabiki wake wamtambue kama “Madame Flora” badala ya jina aliloibukia la Flora Mbasha.

Asili ya neno “madame” analotumia Flora ni Ufaransa na linamaanisha mwanamke aliyeolewa.

“Kwa sasa siwezi kukwambia chochote kuhusu hilo. Sijui, labda ifikapo Machi naweza kuzungumza,” amesema Flora, ambaye alitamba na kibao cha “Jipe Moyo”.

advertisement

Lori lililogangana na gari dogo lenye
namba za usajili T353 DGE na
kusababisha Vifo vya watu kadhaa
TANZIA: Ajali mbaya iliyotokea usiku wa
kuamkia leo maeneo ya Mikese,Morogoro
yapelekea kufariki kwa mmliki wa Hoteli
iitwayo Villa Park iliyopo Mji mdogo wa
Makambako, Wilaya ya Njombe Mkoani
Njombe.
Mfanyabiashara huyo amefariki papo
hapo akiwa na mpenzi wake ambaye
hajajulikana kutokana na mwili wake
kuharibika vibaya sana kwa ajali.
Bw.Kizito siku ya jana alianza safari
akitokea Mji wa Mafinga kuelekea Jijini
Dar es Salaam baada ya kumalizika
mechi ya mpira wa miguu kati ya Njombe
Mji ya Mjini Njombe na Kurugenzi ya
Mjini Mafinga ambapo alienda
kuishangilia Timu yake ya Njombe Mji
iliyoibuka kidedea kwa kuichapa mabao
2-0 Timu ya Kurugenzi na kufanikiwa
kukata tiketi ya kushiriki Ligi Kuu ya
Vodacom Tanzania kuanzia msimu ujao
wa 2017/2018 .

Utafiti Unaonesha kwamba 63%
ya watu duniani wanaamini
uwepo wa Mungu, yafuatayo ni
Mataifa 5 yanayoongoza kwa
idadi kubwa ya watu wasiyoamini
uwepo wa Mungu (Atheism).
1. China.
Ikiwa na wapagani asilimia 30%,
huku asilimia 47% ya watu
hawaamini kabisa kama Mungu
yupo.
2. Japan.
Ikiwa na asilimia 31% ya
wapagani, huku asalimia 31% ya
wajapani hawaamini kabisa kama
Mungu yupo.
3. Czech Republic.
Ikiwa na 48% ya wapagani, huku
asilimia 30% ya wananchi
wanasema kwamba Mungu
hayupo.
4. France.
Asimilia 29% ya wafaransa
hawaamini kabisa kama Mungu
yupo.
5. Korea Rep (South).
Ikiwa asamilia 15% watu
wasioamini kwamba Mungu yupo.

Monday, February 13, 2017

Na Ibrahim Yassin, Kyela
MKAZI wa Kitongoji cha Njisi,
Kijijiji cha Kilwa, wilayani Kyela,
Tummanye Makula (35) , amekaa
na ujauzito miezi 13 na
kushindwa kujifungua.
Hata hivyo, baada ya maombezi,
alijikuta akijifungua chura na
baadaye mdudu wa ajabu akiwa
na manyoya meusi.
Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa
wiki baada ya dada huyo
kumpigia simu Mchungaji wa
Kanisa la Tample Of Prayer For
All Nations Church, Nabii Charles
Mkuvasa wa mjini Kyela akihitaji
kuombewa.
Alicuhukua hatua hiyo  baada ya
kukaa na ujauzito kwa muda wote
huo na kushindwa kujifungua,
licha ya kuzunguka kwa waganga
wa kienyeji.
Akizungumza na MTANZANIA
jana, Tummanye alisema
aliachana na mume wake muda
mrefu na kuamua kuishi na
mama yake mzazi.
Alisema baada ya miaka miwili,
alipata mwanaume mwingine
ambaye alimpa ujauzito huo na
siku zote alikuwa akihudhuria
kliniki katika Hospitali ya Wilaya
Kyela.
Alisema ilipofika miezi tisa,
alipata uchungu siku mbili, lakini
hakujifungua huku madaktari
wakimweleza kuwa njia yake ni
ndogo, licha ya kuwahi kuzaa
mtoto mmoja.
Baada ya siku mbili uchungu huo
ulikata na aliendelea kukaa na
ujauzito wake hadi alipoamua
kunywa dawa na kupiga lamri
kwa waganga wa kienyeji, ingawa
pia  hakufanikiwa lolote, alisema.
Alisema alipokuwa nyumbani
aliambiwa na marafiki zake
aende kwa Nabii Charles
akaombewe kutokana na
kutokuwa na uwezo wa kutembea
na yeye aliomba namba ya simu
na kumpigia.
Alisema Charles alianza
kumuombea na baada ya dakika
tano, alisikia uchungu ikabidi
aingie ndani…muda mfupi
alijifungua chura ambaye
alitoweka katika mazingira ya
utata.
“Nilitoka sebuleni na kumweleza
mchungaji na mama yaangu
nimejifungua chura ambaye
ametoweka katika mazingira ya
utatanishi,” alisema.
Alisema baada ya muda mfupi,
alijisikia uchungu tena na kwenda
chumbani na kujikuta akijifungua
mdudu wa ajabu akiwa na
manyoya kama paka na nywele za
rasta, ikabidi amwite mama yake
na mchungaji.
Mama mzazi wa Tummanye
Makula hakuweza kutaja jina
wala kusema chochote, baada ya
gazeti hili kufika nyumbani
kwake, isipokuwa alikuwa akilia
tu muda wote.
Mkazi wa Kyela, Bonifas Mwalila,
mmoja wa mashuhuda wa tukio
hilo, alisema tukio hilo ni la
kwanza kuliona tangu azaliwe.
Naye Mchungaji Mkuvasa, alisema
baada ya kufika kijijini alimkuta
mama huyo akiwa katika hali
mbaya, kifo kilikuwa kinamwita
lakini kutokana na maombi
alimnusuru.
Diwani wa Kata hiyo, Anna
Makula licha ya kukiri kuwapo
tukio hilo, alisema amekuwa
akishuhudia matukio mengi ya
watu kufika kanisani hapo
wakiwa wamefungwa kamba,
lakini baada ya siku tatu alikuwa
akishangaa wakirudi makwao
wakiwa wazima.
Chanzo:Mtanzania

Friday, February 10, 2017


                                                              DOWNLOAD AUDIO

Wednesday, February 8, 2017

Askofu mstaafu wa kanisa la Pentekoste
(FPCT) Singida mjini Dk. Paul Samweli,
amesema suala la serikali ya Dk. John
Magufuli kusisitiza ulipaji wa kodi na
ushuru ni utekelezaji wa maagizo ya
Yesu Kristo, hivyo waumini na
Watanzania kwa ujumla, wanatakiwa kutii
na kuzingatia wajibu wao huo.
Akiijengea nguvu hoja yake hiyo,
amesema kwa mujibu wa kitabu
kitakatifu cha Mungu cha biblia Warumi
13 (msitari 1-14), inaonesha wazi Yesu
kristo alipigia debe Mamlaka ya mapato
Tanzania (TRA).
Askofu Paul alisema katika Warumi 13
kimeainisha kuwa watoza kodi na
ushuru, ni wahudumu wa Mungu kuwa
wapeni haki zao, mtu wa kodi, kodi, mtu
wa ushuru, ushuru.
Dk. Paul amesema hayo juzi wakati
akihubiri kwenye ibada ya kawaida
ambayo pia ilihudhuriwa na kamanda wa
jeshi la polisi mkoa mkoani hapa ACP
Debora Daudi Magiligimba.
Akisisitiza, alisema kwa vile ulipaji kodi
umepewa baraka zote na Mwenyezi
Mungu, waumini wa madhehebu
mbalimbali ya dini, wanapaswa kuwa
mstari wa mbele katika kutii agizo la
Mungu la kulipa kodi uliowekwa kisheria
bila shurti.
“Serikali ya Rais Magufuli katika hili la
uhimizaji wa ulipaji kodi na ushuru,
inafanya vizuri kazi iliyopo mbele yetu
waumini wa dini na Watanzania kwa
ujumla, ni kulipa kodi na ushuru kwa
wakati, ili nchi yetu iweze kusonga mbele
kimaendeleo. Haya mambo ya kukwepa
kulipa kodi au ushuru, yakomeshwe,”
alisema.
Kuhusu watoza kodi na ushuru Dk.Paul,
alisema kuwa katika Biblia (Luka
Mtakatifu 3 -12-17) inasema watoza
kodi/ushuru waliagizwa wasitoze kubwa
ambayo itakuwa kinyume na sheria
inavyoagiza.
Akifafanua, alisema wafanyakazi wa TRA,
katika utekelezaji wa majukumu yao,
wanatakiwa kutoza kodi na ushuru kwa
mujibu na sheria, kanuni na taratibu
zilizowekwa na si vinginevyo.
“Wakitoza kodi au ushuru mkubwa ambao
upo kinyume na sheria, watakuwa
wanamudhulumu mlipaji, kitendo hicho
sio tu binadamu mwenye maadili mema
hakipendi, lakini pia, nacho
hakitampendeza Mwenyezi Mungu,”
alisema.
Kwaupande wa jeshi la polisi, Dk. Paul
amesema kwamba katika kitabu cha
Warumi 3 mstari wa 14, kimewataka
askari polisi katika kutekeleza majukumu
yao, wasidhulumu mtu wala
wasiwababikizie watu kesi za uongo. Pia
watosheke na mshahara wanaolipwa.
“Kamanda maneno yaliyotamkwa na
mtumishi wa Mungu Yohana, yanamtaka
kila askari polisi, aridhike na mshahara
wake. Ina maana asiwe na tamaa ya
kuomba rushwa na vile vile asibabikie
mwananchi kesi, bali atatekeleza wajibu
wake kwa mujibu wa mkataba wake wa
kazi,” alisema.
Dk. Paul alitumia fursa hiyo kulipongeza
jeshi la polisi mkoa wa Singida kwa
juhudi zake za kudhibiti vitendo vya
kihalifu ambavyo vinaweza kuhatalisha
amani na utulivu ulipo.
“Nikupongeze kipekee kamanda
Magiligimba kwa kuazisha utamaduni
mpya wa kuongea na waumini wa
madhehebu ya dini kwenye nyumba zao
ibada. Pia kwa uamuzi wako wa kudhibiti
uhalifu kabla haujatokea. Kwa kifupi
unataka dalili za kutokea uhalifu,
zishughulikiwe mapema kabla hazijaleta
madhara. Sisi kanisa tunakuunga mkono
katika hili. Mungu akutangulie,” alisema
Dk.Paul.

Saa chache baada ya kutakiwa kufika
polisi na mkuu wa mkoa Paul Makonda
kutoa taarifa juu ya madawa ya
kulevya,Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo
na Uzima,Josephat Gwajima Amepost
Ujumbe picha huu ambao wataalamu wa
mambo wanadai kuwa ni kama jibu kwa
Mheshimiwa Makonda

Friday, February 3, 2017

UZINDUZI UZINDUZI UZINDUZI

AMBAO HUJAWAITOKEA 
NI MWANADADA 
MWIMBAJI AILEN NICHORAS
ANAKULETEA
ALBAM YAKE YA KWANZA INAYOKWENDA KWA JINA LA 
SITAKI  KUKUMBUKA
HATA KUWA PEKE YAKE ATAAMBATANA NA WAIMBAJI MACHACHALI NA WENYE KUMWABUDU NA KUMSIFU MUNGU KATIKA VIWANGO VYA JUU 
NA NI KAMA WAFUATAO
USCF CHOIR -------UDOM
EMMANUEL NYELANYELA 
STEWART DAVDSONI ( muntu bha kyala)
NA WENGINE WENGIIII WATAKUWEPO

UZINDZI HUU UTAFANYIKA JUMAPILI YA KESHO
TAREHE 5/2/2017
MAHALI NI THEATRE 4 ..COED
MUDA NI KUANZIA SAA SABA HAD SAA KUMI NA MOJA

NZURI KULIKO YOOOTE HAKUNA KIINGILIOO CHOCHOTE USIIKOSE  HII


HISTORIA FUPI YA AILEN NICHORAS
jina lake kamili ni AILEN NICHORAS
mwenyeji na mzawa wa KAGERA TANZANIA
kazi yake ni MWANAFUNZI WA CHUO
huduma yake ni UIMBAJI 


KAZI HII ITAPATIKANA MIKONONI MWAKE KWA U
MAWASILIANO YAFUATAYO
0753176252

kwa matangazo na ku upload nyimbo zako tutafute kwa namba hizi
0766867600
0673008678
vijananainjili@gmail.com

Powered by Blogger.

Popular Posts

Our Facebook Page

Video