Sunday, February 19, 2017

Utafiti Unaonesha kwamba 63%
ya watu duniani wanaamini
uwepo wa Mungu, yafuatayo ni
Mataifa 5 yanayoongoza kwa
idadi kubwa ya watu wasiyoamini
uwepo wa Mungu (Atheism).
1. China.
Ikiwa na wapagani asilimia 30%,
huku asilimia 47% ya watu
hawaamini kabisa kama Mungu
yupo.
2. Japan.
Ikiwa na asilimia 31% ya
wapagani, huku asalimia 31% ya
wajapani hawaamini kabisa kama
Mungu yupo.
3. Czech Republic.
Ikiwa na 48% ya wapagani, huku
asilimia 30% ya wananchi
wanasema kwamba Mungu
hayupo.
4. France.
Asimilia 29% ya wafaransa
hawaamini kabisa kama Mungu
yupo.
5. Korea Rep (South).
Ikiwa asamilia 15% watu
wasioamini kwamba Mungu yupo.

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Popular Posts

Our Facebook Page

Video