Friday, March 31, 2017


                                                                   DOWNLOAD AUDIO

Tuesday, March 7, 2017

ambwene mwasongwe

Sunday, March 5, 2017

Wakili  wa Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na uzima, Askofu Josephati Gwajima,  Peter Kibatala amesema kuwa polisi wamefanya upekuzi kwa mara nyingine nyumbani kwa Askofu huyo.Kibatala ambaye ni wakili wa Askofu Gwajima amesema kuwa mbali na kupekuwa nakupiga picha kila kona ya nyumba pia walikwenda katika kanisa lakelililopo Ubungo kwa ajili ya upekuzi.“Waache wafanye yao na sisi tutafanya yetu kisheria, Kwani hatuwezi kuwazuia Polisi kufanya shughuli yao na baada ya kumaliza na sisi tutajua nini cha kufanya,”amesema Kibatala.Msemaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, David Mngongolwa amesema Gwajima alikwenda polisi kuripoti kama alivyoamriwa kufanya hivyo.Aidha, Mngongolwa ameongeza kuwa baada ya kuripoti askari walimchukua na kwenda naye nyumbani kwake kwa ajili ya upekuzi na baada ya hapo waliondoka naye.Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Suzan Kaganda amesema hana taarifa za kukamatwa kwa Gwajima kwa maelezo kuwa alikuwa katikakikao

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesemayeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe.Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada inayoendelea kanisani kwake hivi sasa akieleza kuwa, "Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote.""Watu wananiambia niache kumpigambona hawakumwambia yeye aache kunipiga, nitampiga tu na bado kazi inaendelea."BOFYA HAPACHINI KUONA ORODHA YA WAUZA UNGA>>

Powered by Blogger.

Popular Posts

Our Facebook Page

Video