Sunday, March 5, 2017

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesemayeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe.Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada inayoendelea kanisani kwake hivi sasa akieleza kuwa, "Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote.""Watu wananiambia niache kumpigambona hawakumwambia yeye aache kunipiga, nitampiga tu na bado kazi inaendelea."BOFYA HAPACHINI KUONA ORODHA YA WAUZA UNGA>>

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Popular Posts

Our Facebook Page

Video