Tuesday, October 17, 2017

  
                                                             DOWNLOAD MP3



                                       DOWNLOAD AUDIO

Thursday, October 12, 2017



NMEUONA MKONO WA BWANA




Huu ni wimbo wa kwanza kabisa kutolewa video na kikundi cha waimbaji toka jiji la MBEYA
Chini ya usisamizi wa mtumishi wa Mungu SETH ambae ni mtoto wa mchungaji mwaigomole katika kanisa ambalo band hii inahudumu MASHUJAA BAND .Akiongea na mwakilishi wetu wa vijana na injili MBEYA kupitia blog hii mwenyekiti wa BAND  Hiyo amesema wanatalajia kufanya mambo makubwa sana jijini hapa katika huduma ya uimbaji hasa musiki wa kuimba kwa vyombo yaani live performance .hiini kwasababu kuna band chache sana ambazo huimba musiki wa live kwa kizazi hiki

pia wako tayari kjutumikasehemu yeyote ile ndani na nje ya Tanzania
kwa mawasiliano zaidi tazama cover hiyo hapo juu




Monday, October 9, 2017

Monday, October 2, 2017

 HAUJUI LINI UTAKUWA MGONJWA ,HAUJUI LINI UTAPATA MATATIZO ,TUSAIDIANE,TUOMBEANE       TUSAIDIANE PANAPO MATATIZO                                            ni moja kati ya maneno yenye hekima yaliyopo katika wimbo huu ulioimbwa na EMMANUEL NYELANYELA MGALLAH toka T.A.G. Beroya MBALIZI-MBEYA kwa mawasiliano usisite kumtafuta kutumika kwenye mikutano,semina,kongamano, tamasha,uzinduzi n.k  0766867600
                                          bonyeza hapa>DOWNLOAD MP3

                                                     
NI EMMANUEL NYELANYELA 
anakuletea wimbo wake mpya uliopo katika albam yake ya NI STORI NDEFUuitwao EE BWANA BARIKI
wapo watu wengi wanaofanya huduma kwa kuwasaidia wengine na wengine kwa kuwasaidia wasiojiweza kwa njia ya matoleo,misaada n.k. wimbo huu ni kwa ajili ya wote wanaofanya misaada mbalimbali ili kufanya huduma ya MUNGU kusonga mbele .HAKIKA NI MZURI NA WENYE KUFARIJI SANA .mtafute nyelanyela kwa 0766867600
        BONYEZA HAPA KUUPATA  >DOWNLOAD MP 3


       EMMANUELNYELANYELA
Kwa mujibu wake amesema huu ndio wimbo pekee aupendao sana ameshirikiana na rafiki yake kipenzi YOHANA CHETI MAHENGE ,.wazo la kutunga wimbo akiongea nasi amesema kuwa alipata maono haya akiwa kidato cha sita na alipomaliza shule ndipo akaamua kuingia studio na hatimae leo ameuachia hewani .Pia ana ALBAM iitwayo ni STORI NDEFU na huu wimbo upo katika hiyo albam ,.yuko tayarikutumika mahali popote pale katika hii Dunia kwa mawasiliano mpigie au tuma sms za kawaida au wasapu  0766867600, 0673008678
                                      bonyeza hapa kuupata  DOWNLOAD MP3
                                               http://quamiller.com/2Nan
Powered by Blogger.

Popular Posts

Our Facebook Page

Video