Thursday, October 12, 2017



NMEUONA MKONO WA BWANA




Huu ni wimbo wa kwanza kabisa kutolewa video na kikundi cha waimbaji toka jiji la MBEYA
Chini ya usisamizi wa mtumishi wa Mungu SETH ambae ni mtoto wa mchungaji mwaigomole katika kanisa ambalo band hii inahudumu MASHUJAA BAND .Akiongea na mwakilishi wetu wa vijana na injili MBEYA kupitia blog hii mwenyekiti wa BAND  Hiyo amesema wanatalajia kufanya mambo makubwa sana jijini hapa katika huduma ya uimbaji hasa musiki wa kuimba kwa vyombo yaani live performance .hiini kwasababu kuna band chache sana ambazo huimba musiki wa live kwa kizazi hiki

pia wako tayari kjutumikasehemu yeyote ile ndani na nje ya Tanzania
kwa mawasiliano zaidi tazama cover hiyo hapo juu




0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Popular Posts

Our Facebook Page

Video