Double M Studio wanakuletea OFA MAALUM
Kwa waimbaji wa nyimbo za injili Mbeya
Katika msimu huu wa sikukuu ya Chrismas kwa kurecod nyimbo moja kwa Tsh.30000 ofa hii ni kuanzia Leo mpaka tarehe 1/1/2018 nyote mnakaribishwa
Wako Mbeya airport
Kazi zao ni zenye ubora wa hali ya juu
Watafute kwa mawasiliano
hapo Kwenye tangazo la njia picha.
Tuesday, November 21, 2017
8:16 AM
Unknown
Music, News
No comments
Related Posts:
ASKOFU. DR.EMMANUEL JOSEPH MAKALA ATOA WITO KWA WAKRISTO NA WATANZANIA WOTE KUPANDA MAZAO YANAYOSTAHIMILI UKAME | VIJANANAINJILI Share on Twitter Share on Google Plus ISAAC LUHENDE 17:28:00 HABARI (picha ya maktaba) Askofu wa kwanza wa Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria, Dr. Emmanuel Joseph Makala, ametoa wito kwa… Read More
KIONGOZI WA KANISA LA ROMANI ATANGAZA SIKU YA SABA NI JUMAMOSI | vijananainjili … Read More
UZINDUZI WA AINA YAKE WA ALBAM YA NEEMA CHOMO UDOM NI JUMAPILI HII 29/1/2017 USIPANGE KUKOSA UZINDUZI UZINDUZI UZINDUZI KAMA TANGAZO HAPO JUU LINAVYOJIELEZA DADA NEEMA CHOMO MZAWA WA MBOZI MBEYA NA MKAZI WA SUMBAWANGA RUKWA KWA SASA YUPO DODOMA KIMASOMO JUMAPILI HII YA TAREHE 29/1/2017 ANAKULETEA&nb… Read More
AJALI YA TRENI KIGOMAAJALI:,YA TRENI KIGOMA Treni inayotoka Kigoma kuja Dar imepata ajali muda huu maeneo ya Mlandizi ikitokea kituo cha Ruvu ambapo Mabehewa zaidi ya 7 yameanguka hakujaripotiwa vifo. ENDELEA KUTUFUATILIA HAD MWISHO TUTAKULET… Read More
MAAJABU MBEYA; MTOTO ALIEZIKWA AKUTWA CHUMBANI KWAKE Mbeya: Mtoto aliyezikwa jana akutwa chumbani kwake mara baada ya mazishi Wakazi wa eneo la Isanga katika jiji la Mbeya wameendelea kushuhudia visa na mikasa, ushilawadu na matukio ya vioja, baada ya mtoto wa miaka 9 aliyeku… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment